Asante kwa kuwasilisha maoni yako kwa ajili ya kuboresha sherehe za Makambi 2026.
Maoni yako yatawasilishwa kwenye kamati ya Makambi
Mungu akubariki sana.

Jiandae kutoa sadaka yako ya Makambi

"Waambie Waisraeli hivi: Tangu siku ya kumi na tano ya mwezi huo wa saba mtamfanyia Mwenyezi-Mungu sikukuu ya vibanda kwa muda wa siku saba... Mtakaa katika vibanda muda wa siku saba; wazalia wote wa Israeli watakaa katika vibanda; ili vizazi vyenu vipate kujua ya kuwa niliwaketisha wana wa Israeli katika vibanda, hapo nilipowaleta kutoka nchi ya Misri" Mambo ya Walawi 23:34

Scroll to Top