Hongera sana kwa Kushiriki Mbaraka huu,
Mungu akubariki kwa Sadaka yako.
BWANA akubariki, na kukulinda;
BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili;
BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani.

Huu mwaliko ni Wako, Familia yako na Rafiki zako

Share nao ili nao wasipitwe na mbaraka huu, Kujenga nyumba ya Ibada kwa ajili ya Mungu wetu

KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO

JIMBO LA KUSINI MASHARIKI MWA TANZANIA (SEC)

Gongo La Mboto SDA

Kanisa la waadventista wasabato Gongo la mbotoLinakualika kwenye ibada maalumu ya kufanikisha ujenzi wa kanisa, itakayofanyika

Tarehe 28 November 2026 katika ukumbi wa chuo cha Kampala (Kiut mainhall).Lengo letu ni kukusanya kiasi cha 

Tsh:300,000,000/=

Sabato hiyo tutaabudu pamoja na aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (TEHAMA),

Jerry William Silaa

akiwa ndiye mgeni Rasmi,
Tunakualika ushiriki nasi katika ibada hii,
Uwepo wako ni muhimu saana siku hiyo kwa utukufu wa Mungu.

Scroll to Top