01.Wasilisha ombi la kadi au Barua yenye jina la Mgeni wako (Softy Copy)
Kama unataka barua au kadi yenye jina la Mgeni wako, basi jaza taarifa za mgeni wako na taarifa zako kupitia fomu hapa chini na ndani ya masaa 24 utapata barua hiyo kupitia hii ya kanisa
02.Downlood Barua au kadi ya Mgeni wako yenye jina
Kama uliwasilisha taarifa za mgerni wako, masaa 24 yaliyopita basi bofya hapa chini kupakua hiyo barua
03.Downlood Barua au kadi za mwaliko (Ambazo hazina majina-Template)
Hapa utapata template za barua na kadi ambazo hazina majina
04.Downloods Poster/ Matangazo ya Majengo day
Hapa utapata poster mbalimbali kuhusu siku maalumu ya majengo
05.Barua za mwaliko, Orodha ya majina na Mamba za simu za Madiwani jimbo la Ukonga
Downlood barua za madiwani wa jimbo la ukonga kwa kubofya hapa chini
06.Barua maalumu zilizo tayari Kusambazwa kwa wahusika
Downlood barua zilizoandaliwa tayari
07.Wasilisha Report ya Barua & Kadi zilizofikishwa kwa wahusika
Tumia hii fomu kuwasilisha report yako kwa kamati. Ikiwa kuna baraua au kadi uliifikisha kwa mtu soft copy au Hard copy basi tunaomba utume taarifa yako kupitia fomu, hapa chini.