Barua & Kadi

Kuelekea Mjengo Day 28 November 2026

Barua/ Kadi / Machapisho & Na Report au Mrejesho wa maandali ya Mjengo day 28 November 2026

  • Wasilisha ombi la kadi au Barua yenye jina la Mgeni wako (Softy Copy)
  • Downlood Barua au kadi ya Mgeni wako yenye jina
  • Downlood Barua au kadi za mwaliko (Ambazo hazina majina – Template)
  • Downloods Poster/ Matangazo ya Majengo day
  • Barua za mwaliko, Orodha ya majina na Namba za simu za Madiwani wa jimbo la Ukonga
  • Barua maalumu zilizo tayari Kusambazwa kwa wahusika
  • Wasilisha Report ya Barua zilizofikishwa kwa wahusika

01.Wasilisha ombi la kadi au Barua yenye jina la Mgeni wako (Softy Copy)

Kama unataka barua au kadi yenye jina la Mgeni wako, basi jaza taarifa za mgeni wako na taarifa zako kupitia fomu hapa chini na ndani ya masaa 24 utapata barua hiyo kupitia hii ya kanisa

    Your information will be securely sent to and stored in Google Sheets for the purpose of processing your form submission.

    02.Downlood Barua au kadi ya Mgeni wako yenye jina

    Kama uliwasilisha taarifa za mgerni wako, masaa 24 yaliyopita basi bofya hapa chini kupakua hiyo barua

    03.Downlood Barua au kadi za mwaliko (Ambazo hazina majina-Template)

    Hapa utapata template za barua na kadi ambazo hazina majina

    04.Downloods Poster/ Matangazo ya Majengo day

    Hapa utapata poster mbalimbali kuhusu siku maalumu ya majengo

    05.Barua za mwaliko, Orodha ya majina na Mamba za simu za Madiwani jimbo la Ukonga

    Downlood barua za madiwani wa jimbo la ukonga kwa kubofya hapa chini

    06.Barua maalumu zilizo tayari Kusambazwa kwa wahusika

    Downlood barua zilizoandaliwa tayari

    07.Wasilisha Report ya Barua & Kadi zilizofikishwa kwa wahusika

    Tumia hii fomu kuwasilisha report yako kwa kamati. Ikiwa kuna baraua au kadi uliifikisha kwa mtu soft copy au Hard copy basi tunaomba utume taarifa yako kupitia fomu, hapa chini.

      Your information will be securely sent to and stored in Google Sheets for the purpose of processing your form submission.
      Scroll to Top